Quantcast
Channel: Spoti na Starehe » Kaka
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2

Kaka achomoa ofa ya Manchester City

$
0
0
Mchezaji wa AC Milan toka Brazil KAKA amechomoa mpango wa kumsajili na kumfanya kuwa mchezaji aliyenunuliwa pesa nyingi na pia mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa wa Pound 500,000 kwa wiki. Kaka amesema kuwa hatoweza kuhama klabu yake ya AC Milan, aidha akiunga mkono uamuzi wa Kaka mchezaji mwenzie David Bekham amesema kuwa kama Kaka anataka kucheza […]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2

Latest Images

Trending Articles





Latest Images